Kamusi kubwa zaidi ya mtandaoni

Glosbe ndio kamusi kubwa zaidi iliyotungwa na jamii. Inashughulikia lugha ZOTE ulimwenguni! Ungana nasi leo!

Glosbe ni jukwaa linalotoa kamusi za bure na tafsiri za ndani-muktadha (sentensi iliyotafsiriwa - kinachojulikana kumbukumbu ya utafsiri). Utapata hapa:

  • mabilioni ya misemo iliyotafsiriwa
  • vielelezo vya maneno
  • rekodi na matamshi
  • mabilioni ya sentensi zilizotafsiriwa
  • mtafsiri wa kiotomatiki wa maandishi marefu

Glosbe hutengenezwa kutokana na juhudi za watu wengi ambao huongeza maudhui mapya kila siku. Jiunge nasi na ushiriki ujuzi wako!

6,000
Lugha 6,000
2,000,000,000
Tafsiri 2000,000,000
400,000
Rekodi za sauti 400,000
1,000,000,000
Sentensi za mfano 1,000,000,000

Jumuiya ya Glosbe ina watumiaji 600,000. Ungana nasi!

Angalia minyambuliko ya vitenzi na nomino

Baadhi ya lugha zina sarufi tata. Katika Glosbe unaweza kuangalia majedwali ya minyambuliko na nomino. Bofya tu neno.

Vinjari kamusi ya picha

Picha moja ni kama maneno elfu moja. Ndiyo sababu tunaonyesha picha badala ya maneno mengi.

Kusanya tafsiri unazozipenda

Je, ungependa kuunda kamusi yako ya binafsi? Pengine ungependa kujizoeza na kujifunza maneno kadhaa? Ni rahisi na Glosbe! Weka tu alama kwenye tafsiri unazopenda.

(inakuja hivi karibuni)