Tafsiri ya "aunt" hadi Kiswahili
shangazi, mama mdogo, mama mkubwa ndizo tafsiri kuu za "aunt" hadi Kiswahili.
aunt
noun
sarufi
a sister or sister-in-law of someone’s parent [..]
-
shangazi
nounaunt (father’s sister) [..]
This time include verses for aunt, uncle, cousin, and grandparents.
Wakati huu jumuisha mistari ya shangazi, mjomba, binamu, na babu na bibi.
-
mama mdogo
nounaunt (mother’s younger sister) [..]
Unbeknownst to me, my aunt and two of my cousins had become Jehovah’s Witnesses.
Nilishangaa kwamba mama mdogo na watoto wake wawili walikuwa Mashahidi wa Yehova.
-
mama mkubwa
nounaunt (mother’s older sister) [..]
Afterward, I sincerely apologized to my aunt.
Baadaye, nilimwomba mama mkubwa msamaha.
-
Tafsiri chache za mara kwa mara
- mama
- Shangazi
-
Onyesha tafsiri zilizozalishwa na algorithimu
Tafsiri za kiotomatiki za " aunt " hadi Kiswahili
-
Glosbe Translate
-
Google Translate
Maneno sawa na "aunt" yenye tafsiri katika Kiswahili
-
shangazi
-
mama mdogo · mbiomba
-
shangazi
-
mama mdogo · mbiomba
Weka mfano
Weka