Tafsiri ya "liquid" hadi Kiswahili
majimaji, maji, kioevu ndizo tafsiri kuu za "liquid" hadi Kiswahili.
(physics) A substance that is flowing, and keeping no shape, such as water; a substance of which the molecules, while not tending to separate from one another like those of a gas, readily change their relative position, and which therefore retains no definite shape, except that determined by the containing receptacle; an inelastic fluid. [..]
-
majimaji
noun adjective(of a market) having sufficient trading activity to make buying or selling easy [..]
The gases condense back into liquids at different temperatures.
Gesi hizo hubadilika na kuwa majimaji katika vipimo mbalimbali vya joto.
-
maji
nounOnce applied, the liquid bitumen dried and hardened to form a waterproof coating.
Baada ya kupakwa, lami hiyo ilikauka na kuwa tabaka gumu lililozuia maji kuingia.
-
kioevu
nounOne is a solid, and the other a liquid.
Moja ni mango, na nyingine ni kioevu.
-
Tafsiri chache za mara kwa mara
- kimiminiko
- unywaji
- -a maji
- Kiowevu
- kiowevu
-
Onyesha tafsiri zilizozalishwa na algorithimu
Tafsiri za kiotomatiki za " liquid " hadi Kiswahili
-
Glosbe Translate
-
Google Translate
Tafsiri zilizo na tahajia mbadala
-
Kiowevu
Unsaturated fats, on the other hand, are liquid at room temperature.
Kwa upande ule mwingine, mafuta yasiyo kifu, huwa ya kiowevu katika halijoto ya chumba.
Picha zilizo na "liquid"
Maneno sawa na "liquid" yenye tafsiri katika Kiswahili
-
tone
-
mlo rojo
-
umaji
-
mixer
-
uonyesho wa fuwelemaji